NEWCASTLE YAPOTEZA TENA DHIDI YA BRIGHTON
Na.Sabore

Klabu ya soka ya Brigthon Hove
Albion jana Jumapili ikimenyana na Newcastlle United ilifanikiwa
kapata alama tatu baada ya kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 kwa bao la
Tomer Hemed la dakika ya 41 kipindi cha kwanza na kufikisha alama 7
katika msimamo.
Westham United, A.F.C Bournemouth na Crystal Palace zinaburuza mkia.
Ligi hiyo inatarajiwa kuendelea tena leo jumatatu kwa mchezo mmoja pekee ambapo Arsenal watakuwa wakimenyana na West Brom Wich Albion katika dimba la Emirates.
No comments